Friday, December 23, 2011

Mawindo

Tumekua mawindoni kwa mda mdefu mno, muwinda na muwindwa kwa kutafuta dhamani ambapo kwa kweli haipo Bali,makubaliano yetu sote ulimwenguni, dhahabu ingelikua chuma ya kawaida Kama hakungelikua mwanadamu, Mbona tumeitupa dhamana halisi tulio na kupatia vitu tofauti dhamana ndipo tue na dhamana? Niwakati Wa kurudishi kilicho asili yetu= Usawa na umoja Wa uhai. www.equalmoney.org. www.eqafe.com. www.desteniiprocess.com. www.desteni.org. www.destonians.com hatuna visababu tena.


- Posted using BlogPress from my iPhone

No comments:

Post a Comment